Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto Abeda Rashid Abdalla akizungumza kuhusu Watoto wa kike wasizalilishe pahala popote, katika hafla ya kuazimisha siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jangombe Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”.
Mjumbe wa Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) Amina Talib Ali, akimkabidhi zawadi Mwanafunzi kutoka Skuli ya Kisiwandui Hapsa Khamiss Amour, kua mshindi wa kwanza wa Mashindano ya Maswali na Majibu, katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa na ZAFELA hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jangombe Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”.
Baadhi ya Washiriki waliyohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa kike duniani, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) hafla iliyofanyika Uwanja wa Kituo Cha Sayansi na Ubinifu Jangombe Mjini Zanzibar, ambapo kauli mbiu yao inasema, “Imarisha Nguvu ya Mtoto wa Kike Mpatie Elimu Bora”.
Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...