Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney akipanda mti katika kiwanda cha bia cha SBL, Moshi. Kushoto ni Alice Kilembe, Meneja wa uzalishaji na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti.
Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney akionyeshwa shughuli zinavyofanyika katika kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali kilichopo Moshi.

Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney (kulia) akitizama baadhi za bidhaa za SBL. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti.
Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney (katikati) alipotembelea kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd’s (SBL), kampuni tanzu ya Diageo yenye makao yake Uingereza ambapo alijionea kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali pamoja na uzalishaji bia. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti ambae alimuelezea programu za kijamii za kimaendeleo, Society 2030.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...