Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano wa Jumiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ulioandaliwa na Jumuiya hiyo kwa ajili ya kumpongeza leo tarehe 20 Novemba 2021 katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.


Baadhi ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,wakati akihutubia katika mkutano wa Jumiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ulioandaliwa na Jumuiya hiyo kwa ajili ya kumpongeza leo tarehe 20 Novemba 2021 katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya Ngalawa kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar kwa niaba ya UWT Mhe. Swahiba Kisasi katika mkutano ulioandaliwa na Jumuiya hiyo kwa ajili ya kumpongeza leo tarehe 20 Novemba 2021 katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwapongeza na kuwatunza Wasanii wa kikundi cha Tarab cha Culture cha Zanzibar kupitia Msanii Sabina Hassan, kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo tarehe 20 Novemba 2021 katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Maisara Zanzibar kwa ajili ya kushiriki katika mkutano ulioandaliwa (UWT) leo tarehe 20 Novemba 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Maisara Zanzibar kwa ajili ya kushiriki katika mkutano UWT leo tarehe 20 Novemba 2021.
PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...