Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika mpicha na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa marungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake
/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...