Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akitembelea mabanda kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Kisayansi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mtoto, Vijana na Lishe uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere,  jijini Dar es salaam, Novemba 17, 2021,
T-MARC Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali ambalo limejikita katika kuboresha masuala ya afya kijamii.  Kupitia bidhaa pendwa zenye viwango vya juu na zinazouzwa kwa bei nzuri  sambamba na programu mbalimbali zinazo elemisha jamii juu ya maswala ya afya ya upangaji  wa uzazi na afya ya uzazi kwa ujumla, maisha ya mtoto, maji na usafi wa mazingira, lishe na magonjwa ya kuambukiza/yasiyo ya kuambukiza kama vile malaria, VVU/UKIMWI na saratani ya shingo ya kizazi. Tovuti (
www.tmarc.or.tz)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete akitembelea banda la T- MARC  kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Kisayansi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mtoto, Vijana na Lishe huku akipokea maelezo mbalimbali ya bidhaa za T- MARC kutoka kwa Lilian Erasmus Mtendaji wa mauzo T-MARC
Mtaalamu kutoka T-MARC bwana Kili Masiga akitoa elimu ya matumizi ya Bidhaa ya Dume Kondom.
pichani ni moja ya wadau wakiwa katika banda la T-MARC katika 
Mkutano wa Mwaka wa Kisayansi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mtoto, Vijana na Lishe uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere,  jijini Dar es salaam, Novemba 17, 2021,
Bwana Kili Masiga akitoa elimu ya matumizi ya Bidhaa mbalimbali kutoka T-Marc Tanzania na na mna ambavyo zinapatikana kwa urahisi mtaani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...