Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi cheti cha Shukurani kwa Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman ALMarzouqi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Red Cresscent  Bw.Humud Al- Junaibi ambao wamefadhili mradi huo,wakati wa  hafla ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017 iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 23 Nov 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017, hafla iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na (RED CRESS CENT) kutoka Nchi za falme za Kiarabu.[Picha na Ikulu] 23 Nov 2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar (ZANZIBAR DOOR)  kwa Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman ALMarzouqi (kushoto) na Naibu katibu Mkuu wa Red Cresscent  Bw.Humud Al- Junaibi (Wafadhili) katika sherehe ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017, hafla iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 23 Nov 2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria  Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017 zilizojengwa kwa ufadhili wa (RED CRESS CENT) kutoka Nchi za falme za Kiarabu hafla iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,(katikati) Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman ALMarzouqi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais pia Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sada Mkuya  Salum, (kushoto) Naibu katibu Mkuu wa Red Cresscent  Bw.Humud Al- Junaibi (wa pili kulia) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.[Picha na Ikulu] 23 Nov 2021. 

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Ayoub Mohamed Mahmoud akitao salamu za mkoa wake wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017, hafla iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) .[Picha na Ikulu] 23 Nov 2021.

Wananchi waliohudhuria katika hafla ya  Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017 wakifuatilia kwa makini  shuhuli nzima ya sherehe hiyo ikiendelea mara baada ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 23 Nov 2021. 

Baadhi ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika sherehe  ya   Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika  na Mvua za masika mwaka 2017,uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja. [Picha na Ikulu] 23 Nov 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...