Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Alex Bitekeye akikabidhi Tuzo kwa Klabu ya Shule ya Sekondari Tambaza baada ya kuibuka washindi wa Tatu kwenye hafla ya Uwezo Award Ceremony 2021. Vodacom Tanzania Foundation ilidhamini tuzo hizo zenye lengo la kuwahasisha wanafunzi kuonyesha vipaji vyao, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo.



Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye akimkaribisha mkuu wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon kuhudhuria hafla ya Uwezo Award Ceremony 2021 ambapo taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ilidhamini hafla hiyo yenye lengo la kuwahamasisha vijana kuonyesha vipaji vyao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...