.
Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa Benki ya Absa Tanzania, Mabula
Elias Mabula ( wa tatu kushoto ) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali
vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa Ofisa Muuguzi
Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye Saratani ya Hospitali ya Taifaya
Muhimbili, David Makunji vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo
hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana.Wengine kutoka kulia ni
Meneja wa Huduma za Jamii wa Benki ya Absa, Hellen Siria, Meneja
Rasilimali Watu wa benki hiyo, Anna Chacha, Mkuu wa Kitengo cha Saratani
ya watoto, Dk. Regina Kibona na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Bi.
Sekela Msita.
Meneja
Rasilimali Watu wa Benki ya Absa Tanzania, , Anna Chacha ( wa tatu
kulia ) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele,
mafuta, unga na sukari kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani ya Watoto wa
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Regina Kibona vilivyotolewa na
wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo, jijini Dar es Salaam jana.
Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa Benki ya
Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula ,Meneja wa Huduma za Jamii wa benki
hiyo, Hellen Siria, Ofisa Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye
Saratani, David Makunji na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Bi. Sekela
Msita.
Meneja wa Huduma za Jamii wa
Benki ya Absa, Hellen Siria ( wa tatu kulia ) akikabidhi msaada wa vitu
mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa Mkuu wa Kitengo
cha Saratani ya Watoto wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Regina Kibona,
vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo, jijini Dar es
Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa
Benki ya Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula , Meneja Rasilimali watu wa benki
hiyo, Anna Chacha, Ofisa Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye Saratani,
David Makunji na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Sekela Msita.
Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji
Huduma wa Benki ya Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula ( kulia ) akikabidhi
msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa
Mkuu wa Kitengo cha Saratani ya Watoto wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk.
Regina Kibona vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo,
jijini Dar es Salaam jana.Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Muuguzi Kiongozi wa
Wodi ya Watoto wenye Saratani, David Makunji na Balozi wa Watoto wenye
Saratani, Sekela Msita.
Wafanyakazi wa Benki ya Absa
pamoja na baadhi ya watumishi wa wodi ya watoto wenye saratani baada ya
kukabidhi msaada wa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta,
unga na sukari walipofika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es
Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...