Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, wakati akikagua Miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.

IGP Sirro yupo mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ambapo kesho anatarajia kuhitimisha Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Mdogo Cheo cha Koplo wa Polisi kwenye shule hiyo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...