Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. GOTO Shinichi wakati wa sherehe ya ufunguzi wa barabara ya Morocco-Mwenge yenye urefu wa kilomita 4.3 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Tanzania na zimefanyika kwenye viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama mkoani Dar es Salaam. (Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akiteta jambo na Balozi wa
Japan nchini Tanzania Mhe. GOTO Shinichi wakati wa sherehe ya ufunguzi
wa barabara ya Morocco-Mwenge yenye urefu wa kilomita 4.3 ambapo Mgeni
Rasmi alikuwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Tanzania na
zimefanyika kwenye viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama
mkoani Dar es Salaam. (Picha na CCM Makao Makuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...