Katibu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Balozi Masoud Abdallah Balozi akiwasilisha Fomu za Tamko la Rasimali na Madeni la Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili, Makao Makuu jijini Dodoma leo tarehe 17 Desemba, 2021.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...