Mkuu wa Mauzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Kuagiza na Kuuza  Magari ya KP Motorz, Lucas Mwamfupe (kulia), akikabidhi funguo ya gari jipya aina ya Toyota Passo lenye thamani ya shs milioni 9.5 kwa  mshindi wa kwanza wa KM 21 Wanawake wa mbio za Familia Marathon 2021, Aisha Ibrahim, jijini Dar es Salaam leo. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Meneja Mauzo kwa Makampuni wa KP Motorz, Protas Mbeya na Mwenyekiti wa Familia Marathon, Francisca Alphonce

 

Mkuu wa Mauzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Kuagiza na Kuuza  Magari ya KP Motorz, Lucas Mwamfupe (kushoto), akikabidhi cheti kwa mshindi wa kwanza wa KM 21 Wanawake wa mashindano ya mbio za Familia Marathon 2021, Aisha Ibrahim, wakati wa mashindano hayo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Familia Marathon, Francisca Alphonce.

 

Mkuu wa Mauzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Kuagiza na Kuuza  Magari ya KP Motorz, Lucas Mwamfupe (kushoto), akikabidhi cheti kwa mshindi wa pili wa KM 21 Wanawake wa mashindano ya mbio za Familia Marathon 2021, Jamila Abdallah, wakati wa mashindano hayo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Familia Marathon, Francisca Alphonce.

 

Mkuu wa Mauzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Kuagiza na Kuuza  Magari ya KP Motorz, Lucas Mwamfupe (kushoto), akikabidhi cheti kwa mshindi wa tatu wa KM 21 Wanawake wa mashindano ya mbio za Familia Marathon 2021, Verah Mrema, wakati wa mashindano hayo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Familia Marathon, Francisca Alphonce.

 

Mkuu wa Mauzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Kuagiza na Kuuza  Magari ya KP Motorz, Lucas Mwamfupe (kushoto), akikabidhi cheti kwa mshindi wa nne wa KM 21 Wanawake wa mashindano ya mbio za Familia Marathon 2021, Shameeza Mukhi, wakati wa mashindano hayo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Familia Marathon, Francisca Alphonce.
Mshindi wa Mbio za KM 21 Wanawake za Familia Marathon 2021, Aisha Ibrahim akijaribu kuwasha gari lake mara baada ya kukabidhiwa na wadhamini, Kampuni ya Magari ya KP Motorz mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo jijini Dar es Salaam leo. Aisha atakuwa pia balozi wa KP Motorz kwa muda wa mwaka mmoja.

 

Mwenyekiti wa Familia Marathon 2021, Francisca Alphonce (wa nne kushoto), akikabidhi tuzo kwa Mkuu wa Mauzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Magari ya KP Motorz, Lucas Mwamfupe ya kutambua mchango wa udhamini wa kampuni hiyo katika mbio za mwaka huu za Familia Marathon zilizotimua vumbi jijini Dar es Salaam leo zikifanyika eneo la Msasani Beach Club. KP Motorz ilitoa gari jipya aina ya Toyota Passo kwa mshindi wa pili wa KM 21 Wanawake.
Mshindi  wa Mbio za KM 21 za Familia Marathon 2021, Aisha Ibrahim akipozi kwa picha mbele ya gari lake, Toyota Passo lililotplewa zawadi na Kampuni ya kuagiza na kuuza magari ya KP Motorsz mara baada ya kuibuka kidedea katika mbio hizo jijini Dar es Salaam leo.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...