Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya 11 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Desemba 6, 2021.
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya 11 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mashindano hayo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Novemba 6, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...