Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake Mama Salma Kikwete, Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake, Mama Salma Kikwete (kushoto), Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akimpa pole Mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete (kushoto) ambaye amefiwa na dada yake, Mwanakombo Bakari Ngayama, nyumbani kwa Rais Mstaafu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...