Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam. Desemba 10, 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam. (Kushoto kwa Makamu wa Rais ni Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango na kulia kwa Dkt. Shein ni Mkewe Mwanamwema Shein) Desemba 10, 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam. Desemba 10, 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...