Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu aliyefanya vizuri katika nidhamu PF 17874 ASP Ally Juma Mwapumba kati ya Maofisa Wanafunzi wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika mahafali yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu aliyefanya vizuri katika Medani za Kivita PF 18911 ASP Evelyne Mathias Msobi katika Mahafali iliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam

 


 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Gwaride maalum la Maofisa wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 yenye lengo la kuimarisha kiwango cha Utendaji kazi katika Jeshi la Polisi nchini katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na  Wahitimu wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika mahafali ya kufunga mafunzo ya kozi hiyo yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...