Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM, leo tarehe 18 Desemba, 2021 katika Kituo cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete, Dodoma. (Picha na Adam Mzee)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM, leo tarehe 18 Desemba, 2021 katika Kituo cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete, Dodoma.Pichani kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo. (Picha na Adam Mzee)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...