*Mdhamini Shujaa Wako na Meridianbet, Nyumba Ya Mabingwa!
WIKI yako inawezakuanza vyema kwa
kutengeneza faida kupitia Meridianbet. Michezo ya robo fainali ya Carabao Cup na LaLiga Santander kuchezwa wiki hii. Mchongo upo hivi;
Jumanne hii, Sevilla watawaalika FC Barcelona katika
muendelezo wa LaLiga nchini Hispania. Timu zote zinahitaji matokeo chanya ili
kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi hiyo. Barca bado
wanajitafuta msimu huu, Sevilla wanapiga yeyote aliyewanyookea wanapokutana
uwanjani. Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.45 kwa
Sevilla.
Kunako robo fainali ya Carabao Cup, Arsenal watashuka uwanjani kuchuana na
Sunderland jumanne usiku. The Gunners wapo kwenye kiwango bora msimu huu
wakiwa wanashika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa EPL. Sunderland wao wanapambana
kupanda daraja. Mchezo wa EFL Cup ni muhimu kwa timu zote, fursa ya kubeba
kikombe, hakuna anayetaka impite. Odds ya 1.18 imewekwa kwa Arsenal.
Pale Anfield, Liverpool FC watawaalika Leicester City. Brendan
Rogers anarejea nyumbani kucheza dhidi ya Majogoo wa Anfield. Wakati huu ambao
Man City wameshatolewa kwenye mashindano haya, pengine ni fursa ya yeyote kati
ya Klopp na Rogers kutwaa ubingwa wa Carabao msimu huu. Nani atampunguza
mwingine baada ya dakika 90? Ifuate Odds ya 1.63 kwa Liverpool.
Mambo yanazidi kutaradadi kwenye
ulimwengu wa dabi, London Derby kuonekana tena kwenye robo fainali ya Carabao
Cup. Ni Tottenham Hot Spurs vs West Ham United. The
Hammers wanatinga robo fainali baada ya kuziondoa timu zote mbili za jiji la
Manchester. Sasa wanakwenda kukutana na Spurs yenye morali baada ya kutoka sare
na Liverpool wikiendi iliyopita. Nani ni nani – Ni Conte au Moyes atakayefuzu
nusu fainali? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.37 kwa
Spurs.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...