Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (katikati) alipokuwa akizungumza na kusisitiza jambo na kuhusu uchangiaji wa sera ya Uchumi wa Buluu katika Semina ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu]. 

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipokea mada mbali mbali zilizotolewa  katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu]. 

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji (kushoto) akiwa pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi  na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.[Na Mpiga Picha wetu]. 

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu]. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kulia) alipokuwa akifungua semina ya siku moja kwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kupitia Sera ya uchumi wa Buluu iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu].

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed alipokuwa akifungua semina ya siku moja kwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kupitia Sera ya uchumi wa Buluu iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu]. 

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipokea mada mbali mbali zilizotolewa  katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu]. 

Kwa niaba ya Mwakilishi wa Shikrika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNDP Nd,Abbas Kitogo alipokuwa akizungumza katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.[Na Mpiga Picha wetu].

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...