Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akiwagawia zawadi baadhi ya watoto katika tamasha maalumu lenye lengo la kuwajengea utamaduni wa kuweka akiba watoto wakiwa wadogo kupitia akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akifurahi pamoja na baadhi ya watoto katika tamasha maalumu lenye lengo la kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akizingumza katika tamasha maalumu lenye lengo la kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya CRDB, Joseline Kamuhanda akizingumza katika tamasha maalumu lenye lengo la kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akishiriki kuburudika na baadhi ya watoto na wazazi/walezi wao katika tamasha maalumu lenye lengo la kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...