Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa katikati akizungumza na ujumbe kutoka Zimbabwe uliofika hapa nchini ukiongozwa na Waziri wa Habari na Utangazaji wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Monica Mtsvangwa kwa ajili ya kuzalisha makala maalumu ya historia ya ukombozi wa taifa lao yatakayotumika kutoa elimu kwa wananchi wa Zimbabwe.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akimsikiliza Waziri wa Habari na Utangazaji wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Monica Mtsvangwa wakati wa mazungumzo baina yao kuhusu uzalishaji wa makala maalumu ya historia ya ukombozi wa taifa la Zimbabwe yatakayotumika kutoa elimu kwa wananchi wa Zimbabwe.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari na Utangazaji wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Monica Mtsvangwa mara baada ya mazungumzo yao kuhusu kuzalisha makala maalumu ya historia ya ukombozi wa taifa la Zimbabwe yatakayotumika kutoa elimu kwa wananchi wa Zimbabwe.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiagana na Waziri wa Habari na Utangazaji wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Monica Mtsvangwa mara baada ya mazungumzo yao kuhusu kuzalisha makala maalumu ya historia ya ukombozi wa taifa la Zimbabwe yatakayotumika kutoa elimu kwa wananchi wa Zimbabwe.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...