Mbunge wa Bunge la Tanzania, Mhe. Anatropia Theonest (aliyepo mbele) akishangilia mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya mbio za mita 1500 katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.
Mbunge wa Bunge la Tanzania, Mhe. Francis Mtinga (aliyepo mbele) akishiriki katika shindano la mbio za mita 100 pamoja na Wabunge wengine katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea Jijini Arusha.
PICHA NA BUNGE
Mbunge wa Bunge la Tanzania, Mhe. Jafari Chege (wa kwanza kushoto) akishiriki katika shindano la mbio za mita 100 katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...