Mratibu wa taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mazingira (UNEP) Clara Makenya (kushoto) akipokea mti wa matunda kutoka kwa Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel Foundation, Doris Mollel  (kulia) mara baada kumalizika kwa semina iliyojadili namna ambavyo athari za mabadiliko ya tabianchi huchangia ongezeko la kuzaliwa kwa Watoto njiti, huku pia ikisababisha vifo vya akina mama wajawazito, kulia ni Meneja wa tasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald ambao ni wadau katika kusaidia juhudi za kuhifadhi mazingira na kusaidia juhudi za serikali katika sekta ya afya nchini.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...