Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kutembelewa na wadau mbalimbali katika maonesho ya Sita (6) ya Bidhaa za Viwanda  vya Tanzania yanayofanyika kuanzia tarehe 03-09/12/2021 katika Viwanja vya Maisara Zanzibar. Maonesho hayo yanafanyika sambamba na maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania bara yatakayofika kileleni tarehe 09 Disemba 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...