Meneja Uhusiano kwa Jamii wa Mgodi wa Barrick North Mara Gilbert Mworia, akiwaeleza mambo mbalimbali wanufaika wa Program ya Maendeleo ya Biashara za Ndani walipotembelea mgodi huo mkoani Mara hivi karibuni. Programu hiyo inatekelezwa na kampuni ya Kengo Limited ili kuziwezesha kampuni za ndani kunufaika na fursa zilizopo kwenye sekta ya madini.
Afisa mazingira Mwandamizi wa Mgodi wa Barrick North Mara Alex Mayengo, akifafanua jambo kwa wanufaika wa Program ya maendeleo ya biashara za ndani walipotembelea mgodi huo mkoani Mara hivi karibuni. Programu hiyo inatekelezwa na kampuni ya Kengo Limited ili kuziwezesha kampuni za ndani kunufaika na fursa zilizopo kwenye sekta ya madini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...