Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchini Comoro, Frakridine Mahamoud, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchini Comoro, Frakridine Mahamoud, katika kikao kilichojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimshukuru Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchini Comoro, Frakridine Mahamoud, kwa kumtembelea ofisini kwake baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (watatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchini Comoro, Frakridine Mahamoud (watatu kulia), pamoja na maafisa mbalimbali wa Ubalozi wa Comoro Nchini baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji, Uraia na Pasipoti, Gerald Kihinga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...