*Carabao Cup, Bundesliga na SerieA Kuendelea Wiki Hii.
Ni utamaduni, mwezi Januari huwa na
michezo mingi. 2022 ni muendelezo wa burudani kwenye ulimwengu wa soka. Nusu
fainali ya Carabao, muendelezo wa Bundesliga na SerieA kuchezwa wiki hii.
Pamba mkeka wako kwa Odds hizi;
Jumatano hii, Chelsea watarejea uwanjani kuwakabili
Tottenham Hot Spurs. The Blues wanaingia uwanjani kuikabili Spurs
ambapo hii ni London Derby. Safari hii, mpambano huu ni kuwania nafasi ya
kucheza fainali ya Carabao Cup, 2021/22. Ni Thomas
Tuchel au Antonio Conte atakayefanikiwa kusogea mbele? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.01 kwa
Chelsea.
Alhamisi, kwenye Serie A kutakuwa na
mtanange wa kukata na shoka. AC Milan uso kwa uso dhidi ya AS Roma. Serie A
itaendelea wiki hii ikiwa ni baada ya mapumziko mafupi ya sikukuu za Krisimasi
na mwaka mpya. Milan na Roma zipo
kwenye viwango tofauti msimu huu. Lakini, zinapokutana uwanjani, tegemea
burudani halisi ya soka la Italia. Pioli
vs Mourinho, nani ni nani? Ifuate Odds ya 1.96 kwa Milan ndani ya
Meridianbet.
Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Carabao
Cup utaendelea alhamisi usiku. Arsenal kuwaalika Liverpool pale Emirate
Stadium. Ni burudani tupu msimu huu, Arteta kuchuana na Klopp baada ya
kupokea kichapo kutoka kwa Guardiola huku Klopp akishuhudia Tuchel akipindua
meza kule Stamford Bridge. Ukiwa na Odds ya 2.18 kwa Arsenal kwenye mkeka wako wa
Meridianbet, uhakika wa kupata faida ni mkubwa!
Ikaribishe wikiendi kwa mchezo wa Bundesliga
kati ya Bayern Munich vs Borussia Monchengladbach. Soka la
kijerumani katika ubora wake. Mbio za kuelekea kwenye ubingwa wa ligi msimu huu
zinashika kasi. Vivyo hivyo, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.23 kwa
Bayern ambayo itapamba mkeka wako wa faida!
Meridianbet
– Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...