Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa katika Ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma.(PICHA NA CCM MAKAO MAKUU)
Home
HABARI
KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA DODOMA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...