Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Sektetarieti ya Halmashauri Kuu CCM Taifa akiwasili Pemba kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025 pamoja na kuhimiza Uhai wa Chama ngazi za Mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu CCM Taifa wakitazama ngoma ya asili  mara baada kuwasili  Pemba kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kukagua,kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025. (Picha na CCM Makao Makuu)


 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...