Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwatta iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Maimbo Mndolwa akimuweka Wakfu wa kuwa Askofu wa Anglikana Emmanuel Charles Bwatta ibada iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Maimbo Mndolwa akimuweka Wakfu wa kuwa Askofu wa Anglikana Emmanuel Charles Bwatta ibada iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa salamu za serikali kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwatta iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Kanisa la Anglikana wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwata mara baada ya kumalizika ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu huyo iliofanyika katika kanisa la Anglikana la mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania na Maaskofu wa Dayosisi Mbalimbali na Maaskofu wa Kanisa Katoliki mara baada ya kumalizika ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwata iliofanyika katika kanisa la Anglikana la mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na Maaskofu wastaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwata iliofanyika katika kanisa la Anglikana la mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...