Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni
Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency
Medicine Services Academy - EMSA) Sylvester Faya akiwafundisha washiriki wa mafunzo
ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa
wa dharura na mahututi inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo
hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.Washiriki wa
mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia
wagonjwa wa dharura na mahututi iliyoandaliwa
na kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za
dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) inayofanyika katika ukumbi
wa Mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es
Salaam wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kuwahudumia wagonjwa hao . Washiriki wa
mafunzo hayo ya siku mbili ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali
mbalimbali hapa nchini.
Picha na JKCI
Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni
Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency
Medicine Services Academy - EMSA) Sylvester Faya akiwafundisha washiriki wa mafunzo
ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa
wa dharura na mahututi inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo
hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifungua mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia
wagonjwa wa dharura na mahututi iliyoandaliwa
na kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za
dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) inayofanyika katika ukumbi
wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es
Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka
hospitali mbalimbali hapa nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...