RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, hafla hiyo imefanyika katika kiwanda hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Home
HABARI
RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA MAJI PEMBA IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 58 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...