RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akiondosha kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine ni Viongozi mbali mbali wakishuhudia tukio hilo


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Zanzibar ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine ni Viongozi mbali mbali wakishuhudia tukio hilo.


Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa maelezo kwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati akitembelea sehemu mbali mbali za jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Marais wastaafu wa Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakiapata maelezo kutoka kwa Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Mohamed Shein (kulia) wakati akitembelea jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Marais wastaafu wa Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa mara baada ya sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo .


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi wakuu walipofika katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...