Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao pamoja na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 05/01/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao .[Picha na Ikulu] 05/01/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao .[Picha na Ikulu] 05/01/2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...