Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani,wakati akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu kwa ziara ya Kikazi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.|Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi .[Picha na Ikulu] 16 jan 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wasaidizi wake katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi akifuatana na Mkewe Mama Marium Mwinyi .[Picha na Ikulu] 16 jan 2022
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...