Aliekuwa Mkurugenzi wa uchaguzi ccm Taifa na Meneja wa kampeni uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze. Ndugu STIVIN REHEMA KAZIDI Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi ya Mzee wetu Stivin Kazidi (Biko) yatafanyika kesho tar 3/1/2022 saa 7 mchana baada ya swala ya adhuhuri, kwenye makaburi ya familia yao Vigwaza
Na Msiba uko nyumbani kwake Vigwaza Kambini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...