Baadhi
ya matukio yakionyesha namna jiji la Dar es Salaam lilivyosherehekea na
Coca-Cola Tanzania katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2022 mwishoni mwa
wiki iliyopita. Kampuni hiyo kupitia kampeni yake inayoendelea ya
‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imekuwa ikiendesha matukio tofauti nchi
nzima kwa kuwashirikisha watumiaji wa bidhaa zake. Baadhi ya matukio tofauti yakionyesha namna wakazi wa jiji la Dar es Salaam walivyosherehekea kwa pamoja na Coca-Cola Tanzania katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2022 mwishoni mwa wiki iliyopita. Kampuni hiyo kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imekuwa ikiendesha matukio tofauti nchi nzima kwa kuwashirikisha watumiaji wa bidhaa zake.
Baadhi ya matukio yakionyesha namna wakazi wa jiji la Dar es Salaam walivyosherehekea kwa pamoja na Coca-Cola Tanzania katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2022 mwishoni mwa wiki iliyopita. Kampuni hiyo kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imekuwa ikiendesha matukio tofauti nchi nzima kwa kuwashirikisha watumiaji wa bidhaa zake.
Home
HABARI
WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAFURAHIA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2022 NA MAAJABU HALISI YA COCA-COLA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...