#Diplomasia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga na Bw. Selestine Kakele katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (MB) akizungumza na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga (aliye vaa suti ya kijivu) na Bw. Selestine Kakele (mwenye kaunda suti ya bluu) katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (MB) katika picha ya pamoja na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga na Bw. Selestine Kakele 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...