Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao, katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Januari 5, 2022. Kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara yake, Ramadhani Kailima, wakati alipokuwa anawasili ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo, kushiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Katikati ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kulia) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, wakifuatilia Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya mtandao uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto meza kuu) akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, katika Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao, katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam,

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kulia), Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro (wapili kulia), pamoja na viongozi wengine, wakifuatilia Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya mtandao uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...