Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya Standard Chartered mara baada ya kumaliza kikao kazi. Kutoka kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha, Rayson Foya, Afisa Mtendaji Mkuu, Sanjay Rughani. Kutoka kushoto, Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Biashara na Masoko, Desideria Mwegelo, Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na Kitaasisi, Jerry Agyeman-Boateng.
Home
BIASHARA
HABARI
Balozi Liberata Mulamula akutana na Wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya Standard Chartered
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...