Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amewasili mkoani Mara kwa ziara ya siku moja akiwa ameongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na kupokelewa na Viongozi wa Chama na Serikali katika eneo la Nyatwali, Bunda mkoani Mara.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Salum Hapi mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ziara ya siku moja akiwa ameongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na kupokelewa na Viongozi wa Chama na Serikali katika eneo la Nyatwali, Bunda mkoani Mara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...