Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel
Malanga (katikati ) akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka hiyo Hamza Johari wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti
wahitimu wa Mafunzo ya Ndege nyuki ‘Drone’ yanayotolewa na Chuo cha
Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) kwa kutumia wataalam wa ndani
Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC), John Ndimbo
akizungumzia namna walivyoweza kutoa mafunzo kwa kutumia wataalam wa ndani waliofanikisha watahiniwa wa mafunzo ya Ndege nyuki
‘Drone’ kusoma bila tatizo lolote na kuhitimishwa leo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga aliyemwakilisha
Mkurugenzi Mtendaji wa TCAA Hamza Johari .
Baadhi
ya wahitimu wa Mafunzo ya uendeshaji Ndege nyuki ‘Drone’
wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga wakati wa kufunga mafunzo yaliyokuwa yanatolewa na wataalam wa ndani yaliyoanza kufanyika toka tarehe 17 Januari
hadi tarehe 11 mwezi Februari mwaka 2022 yanayotolewa na Chuo cha
Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) wakati wa hafla ya mahafali ya wanafunzi
hao yaliyofanyika TCAA jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel
Malanga (Kulia) akiwatunuku wahitimu wa mafunzo ya urubani wa Ndege
nyuki (Drone) wakati wa mahafali yaliyofanyika katika Chuo cha Usafiri
wa Anga Tanzania (CATC) leo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel
Malanga akiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya urubani
wa Ndege nyuki (Drone) wakati wa mahafali ya sita na mahafali ya kwanza
kwa kutumia wakufunzi wa ndani yaliyofanyika katika Chuo cha Usafiri
wa Anga Tanzania (CATC) TCAA jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...