Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, katika ukumbi wa mikutano wa Ngorongoro Mkoani Arusha Februari 17, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya viongozi na wawakilishi wa wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza nao Mkoani Arusha Februari 17, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya ukumbi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuzungumza na viongozi na mwananchi wa Tarafa hiyo, Februari 17, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...