Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akiongoza semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola

Mwenyekiti wa kamati ya katiba na Sheria na Mbunge wa Madaba, Mhe. Joseph Mhagama (Mb), akichangia jambo wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Eliazer Feleshi akitoa ufafanuzi wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini (Mb), akiwasilisha mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola mbele ya Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini, Mhe. Almas Maige akichangia jambo wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...