Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma,
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022, wapili kushoto ni Mratibu wa Miradi kutoka ofisi ya Bunge, Ndg. Mary Lasway
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa
Zungu (Mb), akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg.
Christine Musisi (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma,
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (wapili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022, wapili kushoto ni Mratibu wa Miradi kutoka ofisi ya Bunge, Ndg. Mary Lasway
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...