RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Mushawar na Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya
Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf,
alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
kumsalimia na kumjulia hali yake leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali
Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh
Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa
iliyofanyika katika Masjid Mushawar Miembeshauri Wilaya ya Mjini
Unguja leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumsalimia na kumjulia hali yake leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...