RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Afrexim Bank kutoka Nchini Egypt ukiongozwa na Makamu wa Rais Mtendaji  Bw,Amr Kamel (kulia kwa Rais) wakipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 16-2-2022.na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanja Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank Bw. Amr Kamel, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-2-2022.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...