Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa
Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma kwa ajili ya
kuhudhuria Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za
Makazi nchini leo tarehe 08 Februari, 2022. Wengine katika picha ni
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
Wakuu wa Mikoa, Mawaziri pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali
wakiwa katika Kikao Kazi cha Wakuu hao wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani
za Makazi kilichofanyika leo Februari 8,2022 Jijini Dodoma na
kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Wakuu wa Mikoa, Mawaziri pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali
wakati wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi
kilichofanyika leo Februari 8,2022 Jijini Dodoma
Home
HABARI
Rais samia ashiriki Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi nchini Jijini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...