Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Gilbert kalima alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma,

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Gilbert kalima alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022, kulia ni Mwanasheria wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Beatus Mafuru

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimsikiliza Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Gilbert kalima alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...