Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada wakiongozwa na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (kushoto kwake) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akionyesha zawadi aliyopewa na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiteta jambo na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada wakiongozwa na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (wapili kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...